Ruka hadi maudhui makuu
Ethan.Bible

Mandhari ya Mistari

Chagua mstari, chagua muonekano, upakue kwa 2K.

Yahwe ni mchungaji wangu; sita pungukiwa na kitu. Yeye hunilaza katika majani mabichi; huniongoza kando ya maji matulivu. Yeye huurejesha uhai wangu; huniongoza katika njia iliyo sahihi kwa ajili ya jina lake.

Zaburi 23:1-3

1440 × 3120

Ukubwa

Mtindo

Unajisikiaje leo?